KITAIFA
September 01, 2024
229 views 2 mins 0

MHE JAFO AHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Waziri wa Viwanda na Biashara pia ni Mbunge wa Jimbo la kisarawe mkoani pwani Mh.Suleiman Jafo, amewataka  Wananchi wa Jimbo la kisarawe na watanzania kwa ujumla kujitokeza katika kujiandikisha kwenye Daftari la wapiga kura Ili kumchagua kiongozi imara atakaewaletea maendeleo Katika majimboni kwao Ameyasema hayo Tarehe 31 Agosti 2024 […]