KITAIFA
November 20, 2024
100 views 3 mins 0

CCM FUNGA KAZI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa_  Katibu Mkuu Balozi Nchimbi kuongoza kampeni za uchaguzi Serikali za Mitaa leo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, anatarajiwa kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM Mkoa wa Mwanza tarehe 20 Novemba […]

KITAIFA
January 03, 2024
466 views 4 mins 0

WATANZANIA JITOKEZENI KUTOA MAONI MISWADA YA SHERIA YA UCHAGUZI NA VYAMA VYA SIASA

Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia* Ataka Wananchi kuchagua viongozi bora katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa* Mbogwe, Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kushiriki katika kutoa maoni kuhusu muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka […]

KITAIFA
December 24, 2023
282 views 7 secs 0

KINANA:AHIMIZA TAASISI ZA KIJAMII KUWEKA MKAZO KATIKA ELIMU YA UFUNDI NA UJASIRIAMALI

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amezihimiza taasisi za kijamii kuweka mkazo katika elimu ya ufundi na ujasiriamali, ili kupata mwarobaini wa tatizo la ajira na kuzalisha wataalamu wengi zaidi wa fani mbalimbali. Kinana ameyasema hayo leo, Desemba 24, 2023, jijini Arusha, alipokuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa 10 […]

KITAIFA
July 29, 2023
201 views 2 mins 0

FEDHA ZA KIJIJI ‘ZAPOTEA’OFISI YA MALIASILI WILAYA

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ametoa wiki moja kwa ofisi ya Maliasili Wilaya ya Itilima, kurejesha fedha Sh milioni 11 za maendeleo ya Kijiji cha Mbogo. Kinana pia amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda na Mkuu wa Wilaya ya Itilima Faiza Salum kuhakikisha fedha hizo zinarejeshwa […]

KITAIFA
July 26, 2023
465 views 23 secs 0

KINANA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA UKUMBI WA CCM MKOA WA MARA

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa ukumbi wa CCM Mkoa wa Mara Kinana, ameweka jiwe hilo la msingi leo Septemba 26,2023 ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake akikagua miradi na utekekezaji wa ilani ya Chama hicho. Akizungumzia mradi huo, Katibu wa CCM Mkoa […]