KITAIFA
July 29, 2024
527 views 23 secs 0

KINANA AMWAGA MANYANGA CCM AAMUA KUJIUZURU

Na Madina Mohammed WAMACHINGA MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake kwa rais Samia Suluhu Hasani na taarifa zimedai kwamba rais amekubali ombi lake la kuachia ngazi nafasi yake na kwamba Kinana hakufafanua zaidi hatua yake ya kuachia ngazi ghafla.