WANANCHI WAFUNGUKA BARABARA ZA TARURA ZINAVYOWAONGEZEA KIPATO NA KUKUZA UCHUMI WAO-KILOLO
Kilolo, Iringa. Wananchi wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wameishukuru serikali chini ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Barabara ya Kidabaga-Bomalangโombe ambao umeweza kuwaongezea kipato na kuwainua kiuchumi. Wakiongea kwa wakati tofauti wananchi hao wamesema kwamba baada ya kukamilika kwa Barabara hiyo yenye urefu wa […]