KIKWETE ATOA AINA 25 YA VIFAA KWA WENYE ULEMAVU, ASEMA SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA ELIMU KWA MAKUNDI YOTE.
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani kupitia Serikali kuendelea kuhakikisha wanatoa elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum. Kikwete ameyasema hayo Jana Februari 15, […]