KIKOSI CHA WANAMAJI WAKAMATA BOTI 2 ZIKISAFIRISHA MAFUTA YA KULA
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Jeshi la Polisi Kikosi cha Polisi Wanamaji kinaendelea na ufuatiliaji maalum kuanzia Mei hadi Juni, 2024 katika kudhibiti uhalifu ukanda wa Bahari ya Hindi. Katika ufuatiliaji huo kikosi kazi cha Polisi Wanamaji Dar es salaam kikitumia boti za Polisi walifanikiwa kukamata majahazi mawili, MV. UKIMAINDI POA na jahazi lingine lisilokuwa na […]