NAIBU WAZIRI MKUU AKAGUA MATENGENEZO YA MASHINE ZA KUFUA UMEME KIDATU
*๐Ni kufuatia hitilafu ya umeme kwenye mfumo wa Gridi* *๐Aigaza TANESCO kutafuta mwarobaini wa tatizo la kufeli kwa Gridi mara kwa mara* *๐Awataka kufanya ukarabati wa vituo vya kufua umeme, ili kuvipa ufanisi* *๐Awatahadharisha juu ya uwepo wa mvua nyingi na kuchukua tahadhari* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya […]