WAZIRI MBARAWA AZINDUA MGAHAWA WA KFC STESHENI YA TRENI YA SGR JIJINI DAR ES SALAAM
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Uchukuzi Prof.Makame Mbarawa Azindua mgahawa wa KFC uliopo Katika Stesheni ya Treni ya kisasa ya SGR jijini Dar es salaam Leo 11 February 2025. Amesema kuwa Kwa Kufunguliwa Kwa mgahawa huu ni MATOKEO chanya ya Uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali yetu inayoongozwa na Mhe Dkt Samia […]