WAKILI AKWAMISHA KESI YA WANANDOA WAWILI KISUTU
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeahirisha kesi ya tuhuma ya kujeruhi na kutoa lugha ya matusi inayomkabili wanandoa Bharat Nathwan (57), Sangita Bharat (54) hadi Septemba 10,2024 kwa sababu ya kutokuwepo kwa wakili wa washtakiwa kwa taarifa kwamba yupo Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi. Wanandoa hao ambao ni […]