WAKATI TANZANIA WANALUMBANA,KENYA MBIONI KUSAINI MKATABA YA UWEKEZAJI NCHINI DUBAI
.Zambia, DRC nazo zakimbilia uwekezaji wa UAE WAKATI baadhi ya wanasiasa wa upinzani na wanaharakati wakipinga mpango wa kampuni ya DP World ya Dubai kuwekeza kwenye bandari ya Dar es Salaam, Kenya imetangaza maamuzi ya kusaini mikataba ya uwekezaji na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Rais William Ruto ametangaza kupitia akaunti yake ya Twitter […]