KITAIFA
June 17, 2023
114 views 2 mins 0

NAIBU WAZIRI KATAMBI AFUNGUA KIKAO KAZI CHA KUPITIA MABORESHO YA PROGRAMU YA UKUZAJI TIJA NA UBUNIFU

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi, amefungua kikao kazi cha kupitia na kujadili rasimu ya mwongozo wa kupima tija na programu ya kukuza tija na ubunifu nchini utakaosaidia kuangalia maendeleo ya ukuaji wa uchumi. Akizungumza jijini Dodoma, Mhe. Katambi amesema mwongozo huo pia utasaidia kutoa taarifa […]