KITAIFA
August 30, 2024
36 views 2 mins 0

TUONDOE VIKWANZO VYA RUFAA ZA MATIBABU AFRIKA MASHARIKI-MAJALIWA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za afya wa nchi wanachama wa kanda ya Afrika Mashariki kuondoa vikwazo vinavyozuia wagonjwa wanaotafuta matibabu ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki. “Hatua hii ni kwa manufaa ya wananchi wetu na kwa uchumi wa kikanda na ukuaji wa utalii tiba.” Ametoa wito […]

KITAIFA
June 22, 2023
109 views 34 secs 0

WAZIRI MKUU: Aagiza Uchunguzi ufanyike Haraka Kwa kupotea Kwa binti Esther

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera na Kamati ya Usalama ya Mkoa huo wafanye uchunguzi zaidi na kwa haraka kuhusiana na tukio la kupotea kwa binti Esther Noah Mwanyiru ambaye alikuwa akisoma shule ya sekondari ya Panda Hill mkoani humo. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Alhamisi, Juni 22, […]