MICHEZO
November 05, 2023
235 views 45 secs 0

ROBERTINHO:NAIPONGEZA YANGA KUSHINDA DERBY

Akizungumza baada ya timu yake kufungwa magoli 5-1 katika mchezo dhidi ya Yanga, Kocha wa Simba, Roberto Oliveira โ€œRobertinhoโ€ amesema kipindi cha pili wachezaji wake walipoteza umakini na ndio maana wakaruhusu magoli mengi Amesema โ€œMagoli mawili tuliyofungwa kipindi cha pili wachezaji wetu (Simba) walizubaa na kupoteza umakini, walifikiri kuna faulo wenzetu wakaendelea kucheza na wakafunga. […]