KITAIFA
November 21, 2024
151 views 45 secs 0

RAIS SAMIA HATUTASITA KUBOMOA MAJENGO YOTE KARIAKOO

Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haitasita kubomoa majengo yote ya Kariakoo, iwapo tume iliyoundwa kuchunguza usalama huo takuja na mapendekezo hayo. Sambamba na hilo Mkuu wa nchi amewataka watendaji wa Serikali kuwajibika kwa nafsi zao katika utoaji wa vibali vya ujenzi akitaka visimamiwe ipasavyo. Rais Saia aliyasema hayo […]

KITAIFA
November 18, 2024
105 views 2 mins 0

SERIKALI KUGHARAMIA MATIBABU WAHANGA KARIAKOO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Jumla ya watu 84 wameokolewa na kufikishwa hospital Kwa ajili ya kupatiwa matibabu na kati ya hao majeruhi 26 bado wanaendelea na matibabu na  watu 13 wamepoteza maisha Katika tukio hilo. Amesema serikali itabeba Gharama za matibabu Kwa wote waliojeruhiwa […]

KITAIFA
November 17, 2024
122 views 3 mins 0

UOKOAJI KARIAKOO NI USHUHUDA WA MOYO WA UTANZANIA-NCHIMBI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Apongeza wananchi wa kawaida  kwa kujitokeza haraka kuokoa watu_ _Serikali, vyombo vyake na taasisi binafsi zapewa heko kwa mwitikio wa mfano_ KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amepongeza utayari na mshikamano ulioonyeshwa na Watanzania mara baada ya tukio la kuanguka kwa jengo Kariakoo, akisema kuwa […]

KITAIFA
November 17, 2024
125 views 28 secs 0

RC CHALAMILA TUNAENDELEA KUOKOA MAJERUHI KARIAKOO KWA USTADI MKUBWA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema toka jana usiku hadi asubuhi ya leo Novemba 17,2024 watu watano (5) wameokolewa na kupelekwa Hospitali -Awatoa hofu wanaosema zoezi linakwenda taratibu asisitiza vifaa vyote vya uokozi vipo lakini kinachofanyika ni ustadi na akili zaidi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila akiongea na waandishi wa habari […]

BIASHARA
November 16, 2024
359 views 13 secs 0

RAIS SAMIA KUTOA MAAGIZO KWA AJALI ILIYOTOKEA KARIAKOO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RAIS Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Jeshi la Polisi,Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na Idara ya Menejimenti ya Maafa kufanya kila linalowezekana kufanikisha zoezi la uokoaji na tiba kwa majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika […]