KAPINGA ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI NISHATI NCHINI SAUDI ARABIA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA I Ashiriki Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji nchini humo Zaidi ya Wafanyabiasha na Wawekezaji 250 wakutana JNHPP yatajwa kuongeza uhakika wa uwepo wa umeme ๐Saudi Arabia Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara naย Wawekezaji nchini Saudi Arabia litaongeza uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati kutokana na Tanzania […]