KITABU CHA MAONO KWA AJILI YA KUWAKOMBOA WATU KIMEZINDULIWA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kitabu hiki nimeandika niweze kusaidia watu wengi japo watu wengi ni wavivu kusoma nataka niwakumbushe kwamba ufalme utatekwa na wenye nguvu lazima tulipe gharama ili tuweze kuishi hatma yetu tulopewa na Mungu. Hayo ameyazungumza Mbeba maono Mchungaji Gabriel Hassan katika hafla ya uzinduzi wa kitabu chake cha Nguvu ya utendaji wa […]