KITAIFA
May 14, 2024
198 views 3 mins 0

WAZIRI KAIRUKI  NA CHINA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA UTALII

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA CHINA MAKUMBUSHO YA CHINA NA TANZANIA KUSHIRIKIANA Na Mwandishi Wetu-Beijing Makumbusho ya Taifa  ya China na Tanzania zimekubaliana  kushirikiana katika kubadilishana uzoefu, teknolojia na kuwa na maonesho ya pamoja  kwa lengo  la kuhakikisha kuwa huduma za makumbusho zinakuwa na faida kwa pande zote mbili za nchi hizo. Makubaliano hayo yamefikiwa katika […]

KITAIFA
May 14, 2024
306 views 34 secs 0

WAZIRI KAIRUKI AKIZUNGUMZA NA KAMPUNI YA UTALII YA YINGKE KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA UTALII

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA CHINA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza na Rais wa Kampuni ya Utalii ya Yingke (Yingke Group), Mei Xiang Rong kuhusu kushirikiana katika Sekta ya Utalii hasa utangazaji utalii, utalii wa mikutano pamoja na kuwekeza nchini Tanzania katika Sekta hiyo kwenye kikao kilichofanyika Ubalozi wa Tanzania nchini […]