KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA DSM YAKAGUA MIRADI YA TANROAD
Kamati ya siasa ya Mkoa wa Dar es salaam leo Novemba 30, 2023 imefanya ziara ya kukagua barabara zinazojengwa na kusimamiwa na TANROADS ikiwemo hiyo inayotoka Kibamba shule kuelekea Mpiji Magohe yenye urefu wa KM 9.2 kwa gharama ya bilioni 2.7 kwa kiwango cha lami. Wakiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa wa DSM Mh. Adam Ngalawa […]