KITAIFA
May 29, 2024
88 views 9 secs 0

KUELEKEA UZINDUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME IFAKARA,HIVI NDIVYO WADAU WANAVYOUZUNGUMZIA.MRADI HUO

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wakazi wa Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilika na kuanza kutumika kwa kituo cha Kupoza umeme cha Ifakara. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi hao wamesema kuwa, zamani walikuwa na […]

KITAIFA
April 03, 2024
109 views 2 mins 0

TANZANIA YAPONGEZWA USIMAMIZI RASILIMALI MADINI,MAFUTA NA GESI ASILIA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Dkt. Biteko akutana na Mwenyekiti wa Bodi ya EITI ya nchini Norway* Ushirikiano wa EITI na TEITI kuimariswa* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 3 Aprili, 2024 amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Asasi ya Bodi ya Kimataifa ya Uhamasishaji Uwazi na […]

KITAIFA
March 19, 2024
161 views 2 mins 0

KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAKAGUA MIRADI YA UMEME VIJIJINI PWANI

📌 *Yatoa angalizo kuhusu bei za umeme* Na Madina Mohammed CHALINZE Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua utekelezaji wa miradi ya usambazaji umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) mkoani Pwani. Mara baada ya ukaguzi huo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Dkt. David Mathayo ameishauri Serikali kuangalia gharama […]