KAMATI YA KITAIFA YAANDAA MPANGO KAZI WA KITAIFA WA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KAMATI ya Kitaifa ya Usimamizi wa Uandaaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na Biashara imefanya kikao maalum ambapo Timu ya Wataalam imekabidhi Rasimu ya awali ya Mpango Kazi huo kwa Kamati hiyo kwa ajili ya mapitio na kuidhinishwa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam […]