WALIOIBIWA TELEVISHENI ZAO KUZIPATA KITUO CHA POLISI
Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam katika kusimamia mifumo ya kisheria ya haki jinai tarehe 21 Novemba, 2022 mtaa wa Mbozi Temeke lilimkamata Lusekelo Kalinga (47) Mkazi wa Sinza na hatimaye akafikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam. Baada ya mashauri yake kusikilizwa tarehe 2 Mei, 2024, mshtakiwa huyo alipatikana […]