WAZIRI MAJALIWA VYOMBO VYA HABARI VIJIEPUSHE NA TAARIFA ZA UCHOCHEZI
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa sekta ya habari ziendelee kusimamia vyombo vya habari vizingatie maadili na kujiepusha na uchapishaji wa taarifa na picha zinazochochea uvunjaji wa maadili, mila na desturi za Kitanzania. Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa habari […]