KITAIFA
June 12, 2024
363 views 29 secs 0

JUMIKITA: SERIKALI ISIINGIE KWENYE MTEGO WA KUFUNGIA MTANDAO WA X ZAMANI TWITTER

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Baada ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake  Mohammed Ali Kawaida kuitaka Serikali kupitia Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kufungia Mtandao wa X ambao Zamani ulijulikana kama Twitter kutokana na mtandao huo kuruhusu mambo ambayo ni kinyume na Utamaduni wa Watanzania Leo Juni […]