KITAIFA, UCHAMBUZI
November 29, 2023
472 views 2 mins 0

MASISI:AISHUKURU SERIKALI KWA KUMFUTIA TUHUMA LA KANISA LAKE

Kanisa la Spirit Word Ministry lililofungiwa usajili Kwa sababu ya kutuhumiwa kusapoti maswala ya ushoga na serikali kulifungia kanisa hilo Mnamo Mwezi WA 3,2023 na serikali kusimamisha huduma na kufunga ukumbi waliokuwa wanafanyia huduma Awali serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Kwa kushirikiana na polisi limeweza kumfutia tuhuma hizo baada ya polisi kujilidhisha na […]