KITAIFA
November 21, 2023
206 views 7 secs 0

WAZIRI DKT GWAJIMA NA JUMUIYA YA WANAWAKE TANZANIA UWT KUENDELEZA AFUA ZA USAWA WA KIJINSIA NA KUPAMBANA NA UKATILI

DODOMA Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum *Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wamejadili kuimarisha ushirikiano kwenye ajenda za kuendelea kumkomboa Mwanamke Kiuchumi, kiongozi, kijamii na kupambana na ukatili wa kijinsia. Akizungumza na Katibu Mkuu wa UWT Ndugu Jokate Mwegelo Ofisi za Makao Makuu Jijini […]

KITAIFA
October 27, 2023
173 views 2 mins 0

JOKATE MWEGELO:AHIMIZA WAZAZI KUWA NA MALEZI BORA KWA WATOTO WAO

Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania Chini ya Mwenyekiti wa UWT Mary Chatanda imeridhishwa na Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya maendeleo Katika mikoa ya Tanzania Bara mara baada ya kufanya ziara zake za Kupitia na kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo Nchini. Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo […]