RAIS SAMIA AANDIKA HISTORIA MRADI WA UMEME JNHPP
๐ *Uzinduzi rasmi kufanyika mwezi Machi mwaka huu* ๐ *Dkt. Biteko asema hakuna kulala; vyanzo vipya kutekelezwa* Na mwandishi wetu… Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa megawatiย 2,115ย umeanza kazi na kuingizaย megawati 235 katika gridi ya Taifa […]