WAZIRI MKUU AONGOZA MATEMBEZI YA AMANI
Ampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha demokrasia Ahimiza wanaume wakapime VVU, wasitegemee matokeo ya wenza wao WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza matembezi ya amani, maridhiano na Rais Samia Suluhu Hassan na kuwataka viongozi wa dini waendelee kusisitiza amani miongoni mwa waumini wao. โViongozi wa madhehebu ya dini endeleeni kuwahimiza waumini wenu kulinda amani […]