SERIKALI YAPONGEZA JUHUDI ZA JMAT KATIKA KUIMARISHA AMANI NA MARIDHIANO.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amesema Serikali inatambua mchango mkubwa wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) kwa kuwa mstari wa mbele katika kutangaza amani, upendo, maadili, na usawa miongoni mwa wananchi wa Tanzania bila kujali tofauti zao za kiimani, kisiasa, au kijamii. Bashungwa ameeleza hayo jijini Dar es Salaam […]