BONIFACE JACOB TUMEJIANDAA KUSHINDA MITAA 48 KATIKA MAJIMBO YA UBUNGO
Meya mstaafu wa kata ya Ubungo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amesema katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Nchi nzima hivi karibuni wamejiandaa kushinda mitaa 48 ya jimbo la ubungo. Boniface afunguka hayo wakati akikabidhi mifuko ya simenti na vifaa vingine vya ujenzi wa ofisi ya Chama katika kata […]