CHALAMILA ATOA TAARIFA YA MATUKIO YALIYOTIA DOA MKOA WA DAR ES SALAAM MWAKA 2024
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameainisha matukio kadhaa yaliyogusa mkoa huu mwaka 2024, akisisitiza juhudi za mamlaka kurejesha utulivu na kuboresha usalama. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Disemba 23,2024 Chalamila amesema matukio hayo yameathiri mkoa kwa namna tofauti, lakini juhudi za pamoja za […]