JESHI LA POLISI,PSSSF WAWAJENGEA UWEZO MAAFISA NA ASKARI POLISI WA NAMNA YA KUSHUGHULIKIA MAFAO KIDIGITALI
Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam. KAMISHNA wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu, CP. Suzan Kaganda Mei 13, 2024, Jijini Dar es Salaam, amefungua mafunzo ya siku mbili ya namna ya uwasilishaji wa nyaraka za mafao kupitia mfumo wa TEHAMA kwa Maafisa Wanadhimu Makao Makuu, Mikoa na Vikosi pamoja na Wasimamizi na Watendaji […]