POLISI WAKAMATA WEZI WA SHEHENA ZA NYAYA ZA SHABA ZILIZOIBIWA ZA TRC NA TANESCO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Polisi Mkoa wa Kipolisi Rujifi inawashikilia Watu wawili, mmoja akiwa na asili ya Kiasia kwa tuhuma za kukutwa na shehena ya nyaya za shaba zilizoibwa katika Miundombinu ya Umeme – TANESCO na Shirika la Reli Tanzania (TRC). taarifa ya Jeshi la polisi imeeleza kuwa Watuhumiwa hao walikutwa na copper block 426 […]