KITAIFA
December 30, 2024
112 views 2 mins 0

POLISI ARUSHA WAJIPANGA KUIMARISHA USALAMA MKESHA WA MWAKA MPYA

Na Mwandishi Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limejipanga vyema kuhakikisha sikukuu ya mwaka mpya 2025 inasherehekewa kwa amani na utulivu, na kwa kuzingatia kutakuwa na mkesha wa siku tatu katika Jiji la Arusha. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine […]

KITAIFA
December 12, 2024
109 views 4 mins 0

RAIS SAMIA APANDISHA VYEO MAKAMISHNA WAWILI POLISI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo DCP Kombo Khamis Kombo kuwa Kamishna wa Polisi na ameteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar. Kombo anachukua nafasi ya CP Hamad Khamis Hamad aliyeteuliwa kuwa Balozi. Mbali nae pia Rais Samia amempandisha cheo DCP Tatu Jumbe kuwa Kamishna wa Polisi na […]

KITAIFA
December 12, 2024
110 views 3 mins 0

RAIS SAMIA AFUMUA BARAZA LA MAWAZIRI,AGUSA JESHI LA POLISI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amelifumua Baraza lake lake la Mawaziri kwa kufanya mabadiliko madogo na kuwateua viongozi mbalimbali ambapo huku Profesaย  Palamagamba Kabudi amemteua kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, akitokea Wizara ya Katiba na Sheria. Mbali naye huku Innocent Bashungwa akiteuliwa kuwa Waziri wa […]