KITAIFA
November 16, 2023
404 views 2 mins 0

JESHI LA POLISI ZINGATIENI HAKI KATIKA UTENDAJI WENU WA KAZI-DKT BITEKO

Dar es Salaam -MADINA MOHAMMED Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutenda haki wakati wote wa utendaji wao wa kazi, wachukie rushwa na wajikite katika kutatua matatizo ya watanzania kwani usalama wa watanzania upo mikononi mwa Jeshi hilo. Amesema hayo, tarehe 16 Novemba, 2023 wakati […]

KITAIFA
August 10, 2023
433 views 3 mins 0

JKT NA WIZARA YA KILIMO WASAINI MKATABA WA MASHIRIKIANO KUINUA SEKTA YA KILIMO

JESHI la kujenga Taifa (JKT) na wizara ya kilimo wametiliana saini mkataba wa mashirikiano katika kutekeleza mradi wa mashamba makubwa kuwezesha vijana kilimo biashara-Building a Better tomorrow (BBT) mbele ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Meja jenerali Rajab […]

KITAIFA
July 10, 2023
449 views 3 mins 0

RAIS SAMIA: SERIKALI KUIMARISHA KUONGEZA UWEZO WA JESHI LA KUJENGA TAIFA JKT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa azma ya Serikali ni kuimarisha na kuongeza uwezo kwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili iweze kutekeleza majukumu yake ikiwa ni pamoja na kulea vizuri vijana. Kauli hiyo imetolewa leo na Rais Mhe. Dkt. Samia wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 […]