WAWILI WAKAMATWA KUHUSIANA NA TAARIFA YA RAIA WA KIGENI KUTEKWA NA KUPIGWA.
Na. Mwandishi Jeshi la Polisi Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili kuhusiana na taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kunusurika kuuawa, kutekwa na kupigwa nyundo kichwani kwa raia mmoja wa kigeni aitwaye Suzan Mary Shawe (75) raia wa afrika kusini. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha SACP […]