KITAIFA
October 02, 2024
199 views 2 mins 0

MATHIAS CANAL ACHANGIA MIL.5 KWA AJILI YA MADAWATI 37 NA KUUNGANISHA UMEME SHULE YA MSINGI TUTU WILAYANI IRAMBA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA IRAMBA Afisa Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amechangia jumla ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili shule ya Msingi Tutu iliyopo katika Kata ya New Kiomboi, Wilayani Iramba katika mkoa wa Singida. Akizungumza wakati wa Mahafali ya 70 ya shule hiyo iliyofanyika tarehe 1 […]