RAIS SAMIA AMPONGEZA WAZIRI ULEGA KWA JUHUDI ZAKE
Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kusimamia ipasavyo mpango wa Serikali wa Kuijenga kesho bora kupitia Kilimo (BBT) hasa kwa vijana ambao umeonyesha mafanikio kwa asilimia kubwa. Rais Dkt. Samia amesema hayo leo Agosti 08, 2023 wakati akikagua mabanda mbalimbali kwenye maonyesho ya Wakulima nanenane 2023 […]