WAKURUGENZI,MA-RC KUELEZA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAO
DAR ES SALAAM; Idara ya Habari (Maelezo), imeandaa programu maalum ya kuwakutanisha Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri zote kwenye kila mkoa pamoja ili waeleze utekelezaji wa masuala mbalimbali katika maeneo yao. Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema Serikali inapeleka fedha nyingi kwenye Halmashauri zake nchini […]