KITAIFA
February 20, 2024
346 views 3 mins 0

MPANGO: KISWAHILI NA LUGHA ZA ASILI NI KIPAUMBELE KIUCHUMI WA KIDIJITALI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa washiriki wa Kongamano la lugha za asili kujielekeza katika kupanga mikakati itakayohakikisha Kiswahili na lugha nyingine za asili zinapata fursa katika uchumi wa kidijiti ili kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika sekta hiyo. Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa […]