HIFADHI YA TAIFA MIKUMI GUMZO KWA WANAKAMATI WA BUNGE LA TAIFA LA SHELISHELI
Na Zainab Ally – Mikumi. Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ya Visiwa vya Shelisheli imevutiwa na Hifadhi ya Taifa Mikumi iliyopo mkoani Morogoro na kuahidi kuwa mabalozi kindakindaki wa kuitangaza hifadhi hiyo inayosifika kwa kuwa na wanyama wanne wakubwa (The big four). Hayo yamesemwa leo Septemba 6, 2024 na Makamu Mwenyekiti wa Kamati […]