MIAKA 60 YA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI YAZAA MAPINDUZI MAKUBWA SEKTA YA UTALII
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Mikumi imeleta mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini yakichangiwa na jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hayo yamesemwaย leo Agosti 31,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) […]