MKUUU WA MKOA WA LINDI AWATAKA WAKAZI WA KILWA KUWA TAYARI KUWAPOKEA WATALII
Na. Beatus Maganja Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Rajab Telack amewataka wakazi wa wilaya ya Kilwa na Mkoa wa Lindi kwa ujumla kuwa tayari kuwapokea watalii wanaotembelea Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara na kutumia fursa hiyo kufanya biashara za bidhaa za utalii ili kuwaingizia kipato. […]