KAMPUNI YA HALOTEL YAZINDUA KAMPENI MPYA YA VUNA POINT
Kampuni ya simu ya Halotel leo imezindua kampeni nyingine mpya kwa wateja wake inayokwenda kwa jina la Vuna Point. Vuna point ni kampeni ambayo Halotel inaonyesha kujali na kuthamini wateja wake wajisikie wao ni wathamani hasa katika kupata huduma nzuri za mawasiliano. Vuna point ni kampeni ya wateja wanaoonyesha uaminifu wa kutumia mtandao wa Halotel […]