ILALA KUFIKIA HADHI YA MJI WA BURNEY, CALIFORNIA KWA MIUNDOMBINU YA BIASHARA NA USALAMA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Halmashauri ya Manispaa ya Ilala imefungua rasmi milango kwa wafanyabiashara kufanya biashara masaa 24 kuanzia Januari 2025, katika juhudi za kuboresha mazingira ya biashara na huduma kwa wananchi Hafla ya uzinduzi wa taa na kamera za CCTV katika Jengo la Machinga Complex limefanyika jana usiku wa,29 Desemba 2024, na kuhudhuriwa na […]