KITAIFA
April 16, 2025
24 views 2 mins 0

DKT. BITEKO AONGOZA MAELFU KUMZIKA ALIYEKUA MKURUGENZI WA TANESCO MHA.GISSIMA

Bunda, Mara 📌Amtaja kuwa ni hazina kubwa katika utekelezaji wa miradi ya umeme 📌Asema atakumbukwa kwa mchango wake wa kuwaunganisha wafanyakazi TANESCO. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe.Dokta.Doto Biteko leo Aprili 16,2025 ameongoza maelfu ya wananchi pamoja na viongozi mbalimbali kwenye shughuli ya maziko ya aliyekua Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania […]