MATEMBEZI YA GENERATION SAMIA (GEN-S) YAVUNJA REKODI MWANZA
Jiji la Mwanza limeshuhudia matembezi makubwa na ya kihistoria yaliyoandaliwa na Umoja wa Makundi Mbalimbali chini ya mwavuli wa Generation Samia (GEN-S) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA). Matembezi haya yalifanyika kuelekea Kongamano Kubwa la Wazi la Fursa za Uchumi, likiwa na kaulimbiu “Mgao wa 30% za Samia Kupitia Mfumo […]