‘GENERATION’ SAMIA YAIBUKA NA KISHINDO
Na mwandishi wetu … Dodoma Programu mpya ya vijana inayojulikana kama Generation Samia (Gen S) imezinduliwa rasmi, Desemba 2, 2024, jijini Dodoma, kwa lengo la kuwaunganisha vijana wa Kitanzania kutoka sekta mbalimbali na kuwajengea mtandao wa fursa za maendeleo. Akizungumza katika uzinduzi huo, msemaji wa @Gen_samia, Sonata Nduka, amesema programu hiyo inalenga kuwa chachu ya […]