MICHEZO
April 03, 2025
29 views 2 mins 0

MIPIRA YA GAVANA BWANKU BADO HAIJAISHA, AANZA AWAMU YA PILI KUIGAWA NDANI YA TARAFA YA KATERERO. ATOA MPIRA TIMU YA KATA- MIKONI.

_Lengo kuu ni kumuunga mkono Mhe. Rais Samia aliyejipambanua kuinua michezo._ Afisa Tarafa (Gavana) wa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku anaendelea na mkakati wake wa kugawa mipira ndani ya kata mbalimbali zilizopo kwenye Tarafa yake ili kuhakikisha Vijana wanainua vipaji na kulinda afya zao kwani michezo ni ajira, michezo […]