KITAIFA
September 28, 2024
112 views 2 mins 0

NAIBU WAZIRI SANGU AITAKA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO KUWAUZA VIJANA WABUNIFU WA TEHAMA

Na Lusungu Helela DODOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora   Mhe. Deus Sangu  ameitaka  Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)  kushiriki kwenye Maonesha mbalimbali ya Ubunifu ili kuonesha uzuri wa mifumo iliyobuniwa pamoja na umahiri wa vijana walioandaliwa na Taasisi hiyo ili vijana hao waweze kupata soko kwenye Sekta […]