FINSCOPE YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM
Ripoti mpya ya FinScope Tanzania 2023, ambayo ni ya awamu ya tano imezinduliwa Leo Jijini Dar es salaam,ambao utafiti Huo unaangazia hupima mahitaji,upatikanaji na matumizi ya huduma za fedha Tanzania Bara na Visiwani. Ripoti hiyo imezinduliwa Leo Jumatatu ya tarehe 10 Katika ukumbi WA BOT Jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya […]